Nikki wa pili;hip hip na madawa ya kulevya havihusiani
Rapa wa kundi la weusi, Nickson Saimon "Nikki wa pili" amefunguka kuwa matumizi ya madawa ya kulevya hayana nafasi kwenye muziki wa Hip Hop hivyo wale wanaotumia inawezekana walianza kabla hayana wa maalufu.
Nikki wa pili alisema kuwa suala la madawa ya kulevya lilinza tangu muziki wa tanzania haujajulikana hivyo kuingia nchini imetokana na utandawazi ambao umeonekana kuteka vijana wengi na kujikuta wakifanya mambo ambayo yanawasababishia matatizo.
"wasanii wa Hip Hop wamejulikana haraka sana kuwa wanatumia madawa ya kulevya ninaamini chanzo kinatokana na vijana wengi kuharibikiwa na utandawazi "alisema nikki wa pili
Comments
Post a Comment