Mauaji ya walemavu wa ngozi(ALBINO)

Bora kuishi na wanyama kuliko kuishi na wanadamu wenye roho mbaya..huvi karibuni lile janga la mauaji ya albino limerejea tena..albino kila xku wanapoteza baadhi ya viongo vya mwili na wengine kupoteza uhai kutokana na kutokqa na damu nyingi kutokana na majeraha aliyoyapata.watu wasio na huruma wanafanya unyama huu kwa mila potofu za kufanilisha mambo yao hususan kupandishqa vyeo nakazini kufanya biashara kubwa kubwa n.k. NATOA RAI KWA WATU WOTE WENYE KUFABYA UNYAMA HUU KWAMBA WANAFANYA VBAYA MA HAIPENDEZI.TUWE NA HURUMA KWANI NAO NI WATU KAMA SISI

Comments

Popular Posts