Watanzania hizi picha za utupu hadi lini?
Hivi hili janga la kupiga picha za uchi litaisha lini?na hususani hawa dada zetu ambao wako umri kati ya miaka17-30..hawa ndio wanaongoza kwa hizi pornography..najiuliza wanapata faida gani wakipiga pixha hizi chafu na kuzisambaza mitandaoni hususani FACEBOOK,INSTAGRAM,WHATSAPP nk.nawaomba aki dada na wote wanaopiga na wanaotamani kupiga hizi picha za uchi waache mara moja..huu sio utamaduni wetu waafrika....NITAFUTE KUPITIA. www.facebook.com/salminizowabakariz.com
Comments
Post a Comment